Fomu ya Idhini ya Kutoa Taarifa za Kodi: Madhumuni ya fomu hii ni nini? Fomu hii inaruhusu kupewa mtu mwingine taarifa zako za kodi. Huyu anaweza kuwa mtaalamu wa kodi, wakili, mkalimani, mwanafamilia, au rafiki. Inairuhusu Idara ya Kodi kuzungumza na mtu huyu kuhusu kodi zako.
File
Swahili_8821-VT_2025.pdf
(219.22 KB)
File Format